Home Uncategorized THOMAS ULIMWENGU KUIBUKIA TP MAZEMBE

THOMAS ULIMWENGU KUIBUKIA TP MAZEMBE


IMEELEZWA kuwa, Mtanzania Thomas Ulimwengu amejiunga na Klabu yake ya zamani ya TP Mazembe aliyesepa klabuni hapo 2016.

Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo aliyekuwa anakipiga JS Saora ameseaini kandarasi ya miaka miwili.

SOMA NA HII  YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA IHEFU