Home Uncategorized VPL : SINGIDA UNITED 0-1 YANGA

VPL : SINGIDA UNITED 0-1 YANGA


Dakika ya 24 Morison anapiga kona inakoswa na Molinga
Dakika ya 23 Moris anachezewa rafu nje kidogo ya 18
Dakika ya 22 Molinga anacheza faulo
Dakika ya 18 Kaseke anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 13 Molinga Gooool pasi ya Mapinduzi Balama
Dakika ya 10 Molinga anaotea
Dakika ya 9 Tshishimbi anapeleka mashambulizi Singida
Dakika ya 07 Chaima anaokoa hatari
Dakika ya 04 Yanga wanapata faulo 

Singida United 0-0 Yanga
Uwanja wa Namfua

SOMA NA HII  KOMBE LA SHIRIKISHO HATUA YA MTOANO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here