SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kilichoibeba Simba jana, Februari 11, mbele ya Mtibwa Sugar ni kujituma kwa wachezaji wake.
Simba jana ilishinda mabao 3-0 mbele ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Sven amesema:”Matokeo mazuri ni kitu ambacho nilikuwa nahitaji, hata wachezaji pia walikuwa wanalitambua hilo, kujituma kwao na juhudi zao ndio siri ya mafanikio yetu,”.
Simba inafikisha jumla ya pointi 53 ikiwa kileleni baada ya kucheza jumla ya mechi 20.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.