Home Uncategorized MAPILATO WA POLISI TANZANIA V YANGA YAWAKUTA, WAFUNGIWA MIEZI MITATU

MAPILATO WA POLISI TANZANIA V YANGA YAWAKUTA, WAFUNGIWA MIEZI MITATU



Waamuzi waliosimamia mchezo namba 223 Polisi Tanzania vs Yanga Abel Willium na Martin Mwalyaje wamefungiwa miezi mitatu (3).


Adabu hiyo imetokana na kosa la waamuzi hao kushindwa kutafsiri sheria za mchezo huo  namba 223 uliofanyika Februari 18, 2020 uwanja wa Ushirika mkoani Kilimanjaro.


Adhabu hiyo imetolewa kwa uzingativu wa Kanuni ya 39(1A) ya Udhibiti wa Waamuzi. 

Mchezo huo ulikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1.

SOMA NA HII  KMC KUONGEZA MASHINE MOJA YA KAZI