Home Uncategorized HUYO RONALDO NI NOMA NDANI YA SERIA A CHEKI ALICHOFANYA

HUYO RONALDO NI NOMA NDANI YA SERIA A CHEKI ALICHOFANYA


JUVENTUS ya Cristiano Ronaldo ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Seria A baada ya kucheza jumla ya mechi 23.

Ronaldo ni kinara ndani ya Ligi hiyo kwa kupiga mashuti mengi yaliyolenga lango.

Amepiga jumla ya mashuti 48 ambayo yamelenga lango na timu yake imefunga jumla ya mabao 44.

Ipo nyuma ya Inter Milan ya Lukaku kwa tofauti ya mabao manne pekee kwani wote wana pointi 54.

SOMA NA HII  TWENDENI TAIFA TUKAWAPIGE PAMOJA BURUNDI TWENDE KOMBE LA DUNIA