Home Uncategorized KAGERE, BOCC0 JANJA YAO YAGUNDULIWA NA BIASHARA UNITED

KAGERE, BOCC0 JANJA YAO YAGUNDULIWA NA BIASHARA UNITED

UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa utatumia nguvu nyingi kuizuia safu ya ushambuliaji ya Simba inayoongozwa na Meddie Kagere na John Bocco kushindwa kuwapa maumivu.

Biashara United ina kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Karume, Mara kwa kufungwa mabao 2-0.

Francis Baraza, Kocha wa Biashara United amesema :-“Mbinu zao tunazitambua, uimara wa safu yao ya ushambuliaji iliyo chini ya Kagere na Bocco hilo ndilo egemeo lao.

“Hatuna mashaka na uwezo wa wachezaji wetu tutaonyesha utofauti wetu kwa kutafuta matokeo na kuwaheshimu wapinzani wetu,”.

SOMA NA HII  YANGA YASHUSHA MASTAA AS VITA DAR