Home Uncategorized MZUNGU WA SIMBA MECHI 10 AMEFUNGWA MABAO NANE, MATOKEO YAKE HAYA HAPA

MZUNGU WA SIMBA MECHI 10 AMEFUNGWA MABAO NANE, MATOKEO YAKE HAYA HAPA

SVEN Vandernbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amekaa benchi kwenye jumla ya mechi 10 za Ligi Kuu Bara baada ya kurithi mikoba ya Patrick Aussems.

Ameshinda mechi nane, sare moja na ameambulia kichapo cha kufungwa bao 1-0 mbele ya JKT Tanzania.

Wachezaji wake wamefunga jumla ya mabao 23 na amefungwa mabao nane.

Matokeo yake yapo namna hii:-

Simba 4-0 Lipuli, Uhuru.
KMC 0-2 Simba, Uhuru
Simba 2-0 Ndanda, Taifa
Simba 2-2 Yanga. Taifa
Alliance 1-4 Simba, CCM Kirumba
Simba 2-1 Mbao, CCM Kirumba
Simba 3-2 Namungo, Taifa
Simba 2-0 Coastal Union
Simba 2-1 Polisi Tanzania

Simba 0-1 JKT Tanzania
SOMA NA HII  KOCHA NAMUNGO AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE