Home Uncategorized YANGA YAZIDI KULA ZA USO KUTOKA KAMATI YA MAADILI, IDADI PUNGUFU KIKAONI...

YANGA YAZIDI KULA ZA USO KUTOKA KAMATI YA MAADILI, IDADI PUNGUFU KIKAONI YAIBUA MSALA


Mechi namba 200- Ruvu Shooting 0 FC vs Yanga SC 1-Timu ya Yanga SC imepewa Onyo kali kwa kosa la kuwakilishwa na watu pungufu ya idadi inayotakiwa katika kikao cha maandalizi ya mechi (Pre-match meeting) na kujaza jina la Kocha wa walinda milango Peter Manyika kuwa amehudhuria kikao hicho wakati hajahudhuria.

Kitendo hicho kilifanyika katika maandalizi ya mchezo uliofanyika February 08, 2020 katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Onyo kali limetolewa kwa uzingativu wa kanuni ya 34 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.
SOMA NA HII  MANULA:TUTAFANYA VIZURI KIMATAIFA