Home Uncategorized VPL: YANGA 0-0 MBAO FC

VPL: YANGA 0-0 MBAO FC



Yanga 0-0 Mbao FC
Uwanja wa Taifa
Kipindi cha Kwanza
Yanga leo imeikaribisha Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mtanage huu wa kukata na shoka.

SOMA NA HII  MANCHESTER UNITED YAINGIA ANGA ZA BARCELONA, WAITAKA SAINI YA BEKI WA KATI UMTITI