Home Uncategorized VPL; SIMBA 4-0 SINGIDA UNITED

VPL; SIMBA 4-0 SINGIDA UNITED


VPL: Uwanja wa Uhuru
Simba 4-0 Singida United
Goal: Boco dk 19
Goal : Kagere dk ya 1
Goal: Deo Kanda dk 12, 18 Kagere anafunga bao la kwanza dk ya 1 akimalizia pasi ya Tshabalala

SIMBA wakiwa na hasira za kufungwa na Yanga bao 1-0 Machi 8 Uwanja wa Taifa leo wanamenyana na Singida United Uwanja wa Uhuru.

Mashabiki waliojitokeza ni wachahche Uwanja wa Uhuru kushuhudia pambano la leo.

SOMA NA HII  VPL:POLISI TANZANIA 0-0 YANGA