Home Uncategorized HUYU HAPA MWANAMICHEZO MWENZETU ALIYEGUNDULIKA NA CORONA TUMUOMBEE

HUYU HAPA MWANAMICHEZO MWENZETU ALIYEGUNDULIKA NA CORONA TUMUOMBEE


Isabella ni mwanamichezo mwenzetu ambaye amegundulika na ugonjwa wa Virusi vya Corona.


 Amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kugundulika ana Corona, hivyo tumuombee apone haraka arejee kwenye ubora wake.


Inaelezwa kuwa huyu ndiye mgonjwa wa kwanza kungundulika kwenye ardhi ya Bongo.
SOMA NA HII  KIUNGO TEGEMO WA KIMATAIFA SIMBA ATANGAZA KUPOKEA OFA TATU ZA NJE - VIDEO