Home Uncategorized MANCHESTER UNITED YAKUBALI YAISHE KWA POGBA

MANCHESTER UNITED YAKUBALI YAISHE KWA POGBA


MANCHESTER United inayotumia Uwanja wake wa Old Trafford imemuweka sokoni kiungo wao Paul Pogba na kukubali yaishe juu yake kwani alikuwa anahitaji kusepa tangu muda mrefu.

Pogba ambaye amekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeruhi alisema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya.

Dau lake inaelezwa ni pauni milioni 100 kwa timu itakayohitaji saini yake ili kumpata nyota huyo.

Real Madrid iliyo chini ya Zinadien Zidane na Juventus ambayo ni timu yake ya zamani zipo kwenye vita ya kuwania saini yake.

SOMA NA HII  SIMBA ILIBANWA MBAVU UHURU KWA MTINDO HUU