Home Uncategorized MANCHESTER UNITED NA DORTUMUND WAMGOMBANIA JUDE

MANCHESTER UNITED NA DORTUMUND WAMGOMBANIA JUDE


BIRMINGHAM ipo kwenye hatihati ya kumkosa msimu ujao kiungo wao Jude Bellingham kutokana na kuwekwa kwenye rada za Manchester United na Borrusssia Dortumund.
Kiungo huyo mwenye miaka 16 amekuwa kwenye ubora wake msimu huu kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa ndani ya uwanja kila anapopewa nafasi.
Akiwa amecheza jumla ya mechi 32 amekuwa akionyesha makeke ambapo amefunga mabao manne jambo ambalo limekuwa likiwavutia Manchester United.
Kwa sasa Birmingham bado wanamvutia kasi kinda huyo kwa kuwa bado wanahitaji huduma yake.
SOMA NA HII  MKWASA ATOA ONYO YANGA JUU YA USAJILI WA WACHEZAJI KUPITIA YOUTUBE