Home Uncategorized SAFARI YA MWISHO YA ALIYEKUWA OFIA HABARI WA SIMBA ASHA MUHAJI IMEHITIMISHWA...

SAFARI YA MWISHO YA ALIYEKUWA OFIA HABARI WA SIMBA ASHA MUHAJI IMEHITIMISHWA LEO

Verified

SAFARI ya mwisho ya aliyewahi kuwa Ofisa Habari wa Simba Asha Muhaji ambaye alikuwa mwandishi mwandamizi imehitimishwa leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu yaliyopo Magomeni Mapipa, Dar es Salaam.



Asha alifariki jana Machi 25 alipokuwa akipewa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandali, Dar es Salaam.

SOMA NA HII  MSERBIA AANZA NA WAWILI YANGA,SVEN APIGA MKWARA, NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI