IMEELEZWA kuwa Klabu ya Chelsea imesitisha mpango wa kumuuza nyota wao N’Golo Kante msimu ujao.
Real Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu Zinedine Zidane inatajwa kuwa ilikuwa kwenye hesabu za kumpata kiungo huyo machachari ambaye anakipiga pia timu ya Taifa ya Ufaransa.
Kwa mujibu wa mtandao wa 90min unaeleza kuwa Madrid walikuwa na mpango wa kuinasa saini yake ila Chelsea nao wamedai kuwa bado wanahitaji huduma yake.
Mkataba wake ndani ya Klabu ya Chelsea unameguka 2023 na nyota huyo inatajwa kuwa hana mpango wa kubaki ndani ya klabu hiyo.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.