Home Uncategorized UJUMBE WA RUVU SHOOTING KUHUSU CORONA

UJUMBE WA RUVU SHOOTING KUHUSU CORONA

EDWARD Cristofa mshamb

uliaji wa Ruvu Shooting amesema kuwa kikubwa ni kila mmoja kuamini katika ndoto zake na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona.

“Muhimu kwa sasa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili ajilinde yeye na jamii kiujumla,” amesema

SOMA NA HII  BEKI HUYU WA NKANA ANAYETAJWA KUTUA YANGA AWAPIGA MKWARA SIMBA