Home Uncategorized AUBAMEYANG AFURAHIA MAISHA YAKE NDANI YA ARSENAL

AUBAMEYANG AFURAHIA MAISHA YAKE NDANI YA ARSENAL


PIERRE Emerick Aubameyang amesema kuwa bado yupo ndani ya Arseanl kwa sasa wakati wa kusepa ukifika ataweka wazi.

Nyota huyo raia wa Gabon anayekipiga timu yake ya Taifa akiwa ni nahodha kwenye timu zote anazocheza ikiwa ni pamoja na Arsenal ana umri wa miaka 30.

Auba amekuwa akihusishwa kusepa ndani ya klabu hiyo huku ikielezwa kuwa Barcelona ipo mlangoni kuiwinda saini yake.

“Bado nipo ndani ya Arsenal wakati ukifika wa kuondoka nitaweka wazi ila kwa sasa ninafurahia maisha ndani ya kikosi,” amesema.
SOMA NA HII  USAJILI WA MBWEMBWE SAWA, MUHIMU WEKEZENI KATIKA MAANDALIZI