Home Uncategorized LIVERPOOL YAHAHA KUMPATA MBADALA WA MANE IWAPO ATASEPA

LIVERPOOL YAHAHA KUMPATA MBADALA WA MANE IWAPO ATASEPA



KYLIAN Mbappe nyota anayekipiga ndani ya PSG kwa sasa amewekwa kwenye mpango wa kutua ndani ya Liverpool iwapo wataikosa saini ya nyota wao Sadio Mane msimu ujao.
Raia wa Senegal Mane ambaye ni nyota ndani ya Kikosi cha Liverpool inaelezwa kuwa anahitajika ndani ya kikosi cha Real Madrid wanaopambana kuipata saini yake.
Zinadine Zidane ambaye ni Kocha Mkuu wa Real Madrid inaelezwa kuwa ana mpango wa kuipata saini ya Mane jambo ambalo linaipa presha Liverpool kumpata mbadala wake kwa sasa.
Tangu atue ndani ya Liverpool 2016 akitokea Southampton Mane amekuwa na mchango mkubwa ambapo amecheza mechi 161 na kutupia mabao 77.
SOMA NA HII  KOCHA KATWILA AIPIGA BONGE MOJA YA MKWARA NAMUNGO