Home Uncategorized MANCHESTER UNITED SASA YAMGEUKIA JAMES MADDISSON

MANCHESTER UNITED SASA YAMGEUKIA JAMES MADDISSON


JAMES Maddisson kiungo anayekipiga ndani ya Leicester City saini yake imekuwa Lulu ghafla kwenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu England.

Nyota huyo mwenye miaka 23 anakipiga pia kwenye Timu ya Taifa ya England.

Inaelezwa kuwa Manchester United imebadili gia angani ambapo awali ilikuwa inamtaka Jack Grealish nahodha wa Aston Villa mwenye miaka 24.


United imeanza kuyeyusha mipango ya kuinasa saini ya nahodha huyo wa Mbwana Samatta baada ya hivi karibuni kuhusika kwenye utovu wa nidhamu baada ya kukiuka sheria ya kubaki ndani.

SOMA NA HII  ISHU YA NYOTA WA YANGA KUIBUKIA IHEFU YABUMA