Home Uncategorized MLINDA MLANGO MTIBWA SUGAR AANZA KUPIGA MAZOEZI MEPESI NYUMBANI

MLINDA MLANGO MTIBWA SUGAR AANZA KUPIGA MAZOEZI MEPESI NYUMBANI

ABOUTWALIB Mshery, mlinda mlango wa Mtibwa Sugar kwa sasa hali yake inaendelea vizuri baada ya kupata matibabu.

Nyota huyo alipata majeraha Februari 15 wakati timu yake ilipokuwa inamenyana na JKT Tanzania.

Kwa sasa mlinda mlango huyo anaendelea na mazoezi mepesi akiwa nyumbani kutokana na kujilinda na Virusi vya Corona.

SOMA NA HII  YANGA WABISHI KINOMA, WAKOMALIA ISHU YA CHAMA