Home Uncategorized MLINDA MLANGO WA SIMBA AMEMISI MAMBO MAKUBWA MATATU NDANI YA LIGI KUU...

MLINDA MLANGO WA SIMBA AMEMISI MAMBO MAKUBWA MATATU NDANI YA LIGI KUU BARA


MLINDA mlango namba moja wa Klabu ya Simba, Aishi Manula amesema kuwa amemisi mambo makubwa matatu na kutoa ombi lake kwa Mungu kunusuru hali ilivyo kwa sasa.


Ligi Kuu Bara imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia hivyo kurejea kwake inattegemea na hali itakavyokuwa shwari.

Manula amesema;- Nimemisi kurudi uwanjani,nimemisi kusikia kelele za mashabiki, nimemisi kusimamia kamati yangu ya kusherehesha siku za kuzaliwa za wanachama wangu.

“Ewe mola wetu tuvushe salama katika kipindi hiki kigumu cha Corona,”. 

SOMA NA HII  HUKU NDIKO ATAKAKOIBUKIA AJIBU NYOTA WA SIMBA