Home Uncategorized MSHAMBULIAJI HUYU AMEPIGA KITABU, UWANJANI ANATUPIA KAMA KAWAIDA

MSHAMBULIAJI HUYU AMEPIGA KITABU, UWANJANI ANATUPIA KAMA KAWAIDA


WAZIR Jr, mshambuliaji huyu anakipiga Mbao FC. Kichwani ana Degree ya IT ana tuzo pia ya mchezaji bora wa Mwezi Novemba ambapo aliipata baada ya kutupia mabao manne wakati timu yake ya Mbao ilipocheza mechi nne.
Amehusika kwenye mabao tisa kati ya 19 yaliyofungwa na Mbao ambapo amefunga saba na kutoa pasi mbili za mabao.
Timu yake ipo nafasi ya 19 ikiwa imekusanya pointi 23 baada ya kucheza mechi 28 imeshinda mechi tano sare saba na kichapo mechi 16.
SOMA NA HII  KINACHOMPA NAFASI TSHABALALA KIKOSI CHA KWANZA HIKI HAPA