Home Uncategorized KINACHOMPA NAFASI TSHABALALA KIKOSI CHA KWANZA HIKI HAPA

KINACHOMPA NAFASI TSHABALALA KIKOSI CHA KWANZA HIKI HAPA



MOHAMED Hussein, ‘Tshabalala ‘ amesema kuwa kinachompa namba kikosi cha kwanza ni juhudi pamoja na kujituma bila kuchoka.


Tshabalala amekuwa na msimu mzuri ndani ya Simba ambapo amekuwa akishindana namba na beki mwenzake Gadiel Michael ambaye alisajiliwa na Simba akitokea Klabu ya Yanga.

Akizungumza na Saleh Jembe, Tshablala amesema kuwa kikubwa ambacho kinampa nafasi ya kuwa bora ni kujituma na kufanya kazi bila kukata tamaa.

“Nimekuwa nikijifunza kila siku na kufanya mazoezi ili kuwa bora, kikubwa ni kuamini kwamba ninaweza na kujituma uwanjani ni jambo muhimu,” amesema.
SOMA NA HII  EYMAEL ATAJA KITAKACHOIPA MATAJI YANGA, SVEN ALIUONA UBINGWA WA SIMBA