Home Uncategorized HUYU HAPA NYOTA ANAYEKIPIGA TIMU YA TAIFA YA RWANDA ANAYEWINDWA NA YANGA

HUYU HAPA NYOTA ANAYEKIPIGA TIMU YA TAIFA YA RWANDA ANAYEWINDWA NA YANGA


 ALLY Niyonzima nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sorts ya Rwanda na timu ya Taifa pia anatajwa kuingia kwenye rada za mabosi wa Yanga ili kuinasa saini yake.

Nyota huyo ambaye anacheza nafasi ya kiungo ameletwa duniani Februari 11,1996 ana umri wa miaka 24 huku akivaa jezi namba nane mgongoni.

Alijiunga na Klabu ya  Rayon Sports FC Januari 15,2020.

Ndani ya timu ya Taifa amecheza mechi 14 na ametumia dakika 802 uwanjani kwenye mechi za timu ya Taifa.

SOMA NA HII  TUNATARAJIA KUONA USHINDANI WA KWELI, LALA SALAMA UMAKINI UNAHITAJIKA