Home Uncategorized POLISI TANZANIA YATUMA UJUMBE HUU KUHUSU VIRUSI VYA CORONA

POLISI TANZANIA YATUMA UJUMBE HUU KUHUSU VIRUSI VYA CORONA


MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa ni jambo la msingi kwa kila mmoja kwa sasa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

Janga la Virusi vya Corona limesababisha shughuli nyingi kusimamishwa ili kuepusha maambukizi zaidi ikiwa ni pamoja na upande wa soka.

Malale ambaye kikosi chake cha Polisi Tanzania kilikuwa kwenye ubora wake kabla ya ligi kusimamishwa amesema:”Muhimu kutambua kwamba ugonjwa upo na kila mmoja anapaswa kuchukua tahadhari ya kujilinda ili awe salama, pia ni muhimu kukumbuka kufanya dua kwani Mungu ndiye muweza wa yote,”.

SOMA NA HII  YANGA WAMEAMUA KWELI, WAMFUNGIA HOTELINI BEKI WA NKANA ILI KUMALIZANA NAYE