Home Uncategorized YANGA SASA KUFUATA JEMBE JINGINE LA KAZI AS VITA

YANGA SASA KUFUATA JEMBE JINGINE LA KAZI AS VITA


INAELEZWA kuwa Yanga imeingia kwenye anga za kuiwinda saini ya  Rossein Tuisila Kisinda.

 Winga huyo mwenye umri wa miaka 20 anakipiga ndani ya Klabu ya AS Vita inayoshiriki Ligi Kuu ya DR Congo akiwa na uwezo wa kufunga pia.


Watani zao wa jadi Simba waliingia kwenye anga za kuiwinda saini ya nyota huyo mipango yao iligonga mwamba.


SOMA NA HII  SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA USAJILI WA TUISILA NA MUKOKO