Home Uncategorized
tunatakiwa kujiaandaa vizuri ila tumeanza taratibu ili kuona namna gani tunaweza kurejea kwenye ubora
bado hatujarejea kwenye ubora kwa kuwa kila mmoja anafanya kazi yake taratibu
rashid juma anaumwa, shiboub itakuwa kesi ngumu kumpata
chama na kahata inategemea na mipaka yao itakuaje ila tunategemea kuwapata hivi karibuni na nina amini watarejea
hatukuwa na muda mrefu 
SOMA NA HII  AZAM FC KUIFUATA MBEYA CITY