Home Uncategorized HII HAPA MITAMBO YA MABAO NDANI YA YANGA

HII HAPA MITAMBO YA MABAO NDANI YA YANGA



Maproo wa kazi ndani ya Yanga kwenye mabao 31 wao wamehusika katika mabao tisa.

Kiungo Haruna Niyonzima amepachika bao moja mbele ya Singida United wakati Yanga ikishinda mabao 3-1.

Patrick Sibomana kibindoni ana jumla ya mabao matano na ametengeneza pasi tatu za mabao.

Katika mabao hayo matano bao moja lilikuwa ni pigo huru dhidi ya Ndanda FC Uwanja wa Nangwanda Sijaona ambapo Yanga ilishinda kwa bao 1-0 na alitibua rekodi ya Tanzania Prisons kucheza mechi nyingi bila kufungwa ambapo aliwatungua Uwanja wa Samora wakati Yanga ikishinda bao 1-0.


Mabao yake aliyofunga Sibomana ametumia guu la kushoto.


SOMA NA HII  MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII