Home Uncategorized KOSI HILI LA MASTAA KARANTINI INAWAHUSU

KOSI HILI LA MASTAA KARANTINI INAWAHUSU

Kosi hili Karantini inawahusu

kwa kuwa wapo nje ya nchi hivyo wakirudi Bongo siku 14 zitakuwa za uàngalizi kwao kujua iwapo wana maambukizi ya Virusi vya Corona:-

Farouk Shikalo wa Yanga yupo Kenya

Nicholas Wadada wa Azam FC yupo Uganda

Bruce Kangwa wa Azam FC yupo Zimbabwe
Daniel Amoah wa Azam FC
Yakub Mohamed wa Azam FC yupo Ghana

Sharaf Shiboub wa Simba yupo Sudan

Never Tegere wa Azam FC yupo Zimbabwe.

Clatous Chama wa Simba yupo Zambia.

Meddie Kagere wa Simba yupo Rwanda.

Donald Ngoma wa Azam FC yupo Zimbabwe.
Francis Kahata yupo Kenya anakipiga Simba.

SOMA NA HII  NYOTA ALIYEKUWA ANATAJWA KUIBUKIA YANGA ATAJWA AZAM FC