Home Uncategorized REAL MADRID HAWANA MPANGO NA RAMOS

REAL MADRID HAWANA MPANGO NA RAMOS

SERGIO Ramos nyota wa Klabu ya Real Madrid inaele

zwa kuwa timu yake haina mpango wa kumpa ofa ya mkataba mpya mshambuliaji huyo.

Ramos mwenye miaka 34 mkataba wake unameguka mwishoni mwa msimu huu na inaelezwa kuwa anaweza kuibukia kukipiga nchini China.

Alijiunga na Real Madrid nwaka 2015 akitokea Klabu ya Sevilla ambebakiza mabao tisa pekee ili kufikisha mabao 100 kwani kwa sasa amefunga jumla ya mabao 91 ndani ya Madrid.
Licha ya kuwa Kwenye ubora wake msimu huu akiwa na Klabu hiyo kwa kucheza mechi 34 na kutupia mabao saba bado halijawashtua mabosi wa Real Madrid.

SOMA NA HII  MHARIRI WA MAGAZETI YA GLOBAL GROUP AWASHUKURU WALIOMTAKIA MEMA SIKU YA KUMBUKIZI YAKE YA KUZALIWA