Home Uncategorized BREAKING:LAMINE AKATWA MSHAHARA YANGA

BREAKING:LAMINE AKATWA MSHAHARA YANGA


BEKI wa Klabu ya Yanga, Lamine Moro amekwatwa mshahara wake wa kiasi cha shilingi milioni moja kutoka kwenye mshahara wake kwa kosa la kitenda  kisicho cha kiungwana dhidi ya Mwinyi Kazimoto wa JKT Tanzania.

SOMA NA HII  JESHI LA SIMBA KUIVAA AZAM FC LIMEPANGWA SIKU HII