Home Uncategorized ALI MAYAI ATAJA SABABU ZA YANGA KUFUNGWA 3-0 NA KMC

ALI MAYAI ATAJA SABABU ZA YANGA KUFUNGWA 3-0 NA KMC

HASSAN Kabunda, winga wa KMC Juni 8, 2020 alimaliza msumari wake wa mwisho kwa kumtungua mlinda mlango wa Yanga bao la kideo kwa mpira wa adhabu uliomshinda Metacha Mnata wakati Yanga ikikubali kulala kwa mabao 3-0. 

Mchezo wa kirafiki ulichezwa ulichezwa Uwanja wa Uhuru ambapo ushindani ulikuwa mkubwa kwa timu zote mbili. 

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI