Home Uncategorized BREAKING;MORRISON ATUA MAKAO MAKUU YA YANGA

BREAKING;MORRISON ATUA MAKAO MAKUU YA YANGA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison ametua makao makuu ya Yanga ili kuzungumza masuala yanayomhusu.

Morrison hakusafiri na timu ambayo ilicheza mchezo na Mwadui FC mkoani Shinyanga kutokana na sababu ambazo alieleza kuwa hayupo fiti. 

Ilitarajiwa angejiunga na timu Dodoma kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya JKT Tanzania ila haikuwa hivyo jambo lililofanya uongozi kufanya jitihada za kuzungumza naye.

SOMA NA HII  SAMATTA ANA NAFASI KUBWA YA KUFUNGA LEO - VIDEO