Home Uncategorized LEO LIGI DARAJA LA KWANZA MAMBO YANAANZA

LEO LIGI DARAJA LA KWANZA MAMBO YANAANZA

LEO Ligi Daraja la Kwanza mambo yataendelea kwa timu nne kuwa ndani ya uwanja kusaka pointi tatu muhimu.

African Lyon itamenyana na Boma FC Uwanja wa Uhuru.

Green Warriors wao watamenyana na Pamba SC Uwanja wa Mej Jen Isamuhyo.

SOMA NA HII  MANCHESTER UNITED WACHEZAJI WAAMBIWA WAJIANDAE KUFUA JEZI