Home Uncategorized SIMBA YATESTI MITAMBO MBELE YA TRANSIT CAMP NA KUIBAMIZA MABAO 4-2

SIMBA YATESTI MITAMBO MBELE YA TRANSIT CAMP NA KUIBAMIZA MABAO 4-2


KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Bunju.

Mabao ya Simba yalijazwa kimiani na Deo Kanda dakika ya tatu, Gerson Fraga dakika ya 15, Tairone Santos dakika ya 17 na Meddie Kagere dakika ya 46.

 Kwa upande wa Transit Camp mabao mawili yalifungwa na Hamadi Habibu dakika ya 45 na Nisile Kisimba dakika ya 64.

SOMA NA HII  SVEN APIGA STOP SIMBA