RASMI sasa Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam umebadilishwa jina na utaitwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Leo, Julai 28,2020, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema hayo wakati akitoa hutoba kwenye maombolezo ya kumuaga Benjamini William Mkapa aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu.
SOMA NA HII MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, NDINGA MPYA KABISA JISHINDIE