Home Uncategorized HALI ILIVYO KWA NJE YA UWANJA WA KARUME LEO AMBAPO BIASHARA UNITED...

HALI ILIVYO KWA NJE YA UWANJA WA KARUME LEO AMBAPO BIASHARA UNITED ITAMENYANA NA YANGA


UWANJA wa Karume, Mara mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United dhidi ya Yanga leo.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza kuchezwa majira ya saa 10:00, Julai 4.

Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa, Yanga ilishinda bao 1-0 hivyo kutakuwa na kazi kubwa kwa Biashara United kuingia uwanjani ikihitaji kulipa kisasi.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI NA SIMBA..MO BANKA AIPA NGUVU YANGA