Home Uncategorized VPL: NAMUNGO FC 0-0 SIMBA

VPL: NAMUNGO FC 0-0 SIMBA


Zinaongezwa dakika 3

Dakika ya 45 John Kelvin wa Namungo anakosa kufunga ndani ya 18 kwa pasi ya Abeid ambaye alionyeshwa kadi dakika ya 43
Dakika ya 42 Namungo wanapata faulo kwenda kwa Kakolanya
Dakika ya 40 Kikoti anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 32 Kikoti anafanya jaribio linaishia kwa Kakolanya
Dakika ya 31 Kagere anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 24 Blaise anapewa huduma ya kwanza baada ya kuumia 

Dakika ya 21 Kagere anafanya jaribio linaokolewa
Dakika ya 19 Simba wanapata kona haizai matunda
Dakika ya 13 Manyanya alichezewa faulo ndani ya 18 na Mlipili haikuamuliwa penalti
Dakika ya 9 na 11 Kagere alifanya majaribio hayakuleta matunda
Dakika ya 5 Simba walipata kona
Dakika ya 3 Namungo walipiga kona mbili
Dakika ya 03 Blaise anafanya jaribio linaokolewa na Kakolanya kona ya kwanza
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Namungo FC v Simba
Uwanja wa Majaliwa, Lindi
Kipindi cha kwanza

Baada ya mchezo Simba itakabidhiwa rasmi kombe lake

SOMA NA HII  SABABU ZA CHIRWA KUJIREJESHA AZAM ZAAINISHWA HADHARANI