Home Uncategorized VPL: SIMBA 5-1 ALLIANCE FC

VPL: SIMBA 5-1 ALLIANCE FC


SIMBA ipo mbele kwa mabao 5-1 mbele ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa Uwanja wa Taifa.

Meddie Kagere ametupia mabao mawili ambapo alifunga la Kwanza kwa penalti dakika 24 kwa penalti na dakika ya 44 huku Luis Miqussone akifunga dakika 63 na Deo Kanda dakika ya 66.

Said Ndemla amefunga bao la 5 dakika ya 87.

Martin Kigi alifunga bao kwa upande wa Alliance dakika  38.

SOMA NA HII  MBWANA SAMATTA KAZINI TENA LEO ENGLAND