Home Uncategorized 2019/20 JUMLA YA MECHI 380 ZIMECHEZWA NA KUKUSANYA MABAO 767

2019/20 JUMLA YA MECHI 380 ZIMECHEZWA NA KUKUSANYA MABAO 767

MSIMU wa 2019-20 jumla ya mabao 767 yamefungwa ndani ya uwanja kwenye mechi za Ligi Kuu Bara

.

Zimechezwa jumla ya mechi 380 ikiwa ni wastani wa mabao 2.02 kwa mechi zote.

Kwa viwanja vya nyumbani yamefungwa jumla ya mabao 446 ikiwa ni wastani wa bao 1.18 kwa mechi na ugenini 321 ikiwa ni watani wa 0.84 kwa mechi.

Mabingwa wa Ligi Kuu Bara ni Simba wao wanaongoza kwa kufunga jumla ya mabao 78 na pointi 88 baada ya kucheza mechi 38.

Yanga iliyo nafasi ya pili imefunga mabao 45 ikipotezwa na Namungo iliyofunga mabao 46 ndani ya ligi.

Inayofuata kwa kufunga mabao mengi ni Azam FC wao wamefunga jumla ya mabao 52 kibindoni na iliyofungwa mabao mengi ni Singida United ikiwa imefungwa jumla ya mabao 73.

SOMA NA HII  AZAM FC YAITWA MEZANI IPEWE KIPA WA BIASHARA UNITED