Home Uncategorized MSIMU LIGI KUU BARA KUANZA KUTIMUA VUMBI SEPTEMBA 6

MSIMU LIGI KUU BARA KUANZA KUTIMUA VUMBI SEPTEMBA 6


MSIMU mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara unatarajiwa kuanza rasmi Septemba 6, 2020.


Utakuwa ni msimu mpya wa mwaka 2020/21 kwa timu kupambania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara lililo mikononi mwa Simba ambao walitwaa taji hilo mara tatu mfululizo.  

Mchezo wa ufunguzi wa utapigwa Agosti 29,2020 ambao ni wa Ngao ya Jamii.

Utamkutanisha bingwa wa ligi, Simba na mshindi wa pili wa Kombe la Shirikisho ambaye ni Namungo.

SOMA NA HII  JKT TANZANIA YAGAWANA POINTI NA YANGA KIBABE, WAWILI WALAMBISHWA UMEME