Home Uncategorized NYOTA SABA WA NAMUNGO FC WA KIKOSI CHA KWANZA KUIKOSA FAINALI YA...

NYOTA SABA WA NAMUNGO FC WA KIKOSI CHA KWANZA KUIKOSA FAINALI YA LEO MBELE YA SIMBA


HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa ana kazi kubwa ya kupambana na Simba leo kwa kuwa nyota wake wengi ni wagonjwa.

Namungo ina kibarua cha kumenyana na Simba Uwanja wa Nelson Mandela kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho.

Hawa hapa wachezaji saba wanatarajiwa kuukosa mchezo wa leo ambao ni:-Relliats Lusajo,
George Makanga na Steve Nzigamasabo, Miza Kristom hawa
wataukosa mchezo kwa kuwa wanaumwa na hawana mechi fitness. 

Edward Manyama,Stephen Duwa na Hashim Manyanya
kuanza kwao leo kikosi cha kwanza itategemea
maendeleo za hali zao kiafya.

SOMA NA HII  FURSA YATANGAZWA KWA WASIO NA KAZI YANGA