Home Uncategorized SVEN KOCHA MKUU WA SIMBA ATWAA TUZO YA KOCHA BORA WA VPL

SVEN KOCHA MKUU WA SIMBA ATWAA TUZO YA KOCHA BORA WA VPL

 

KOCHA Msaidizi wa Simba Suleiman Matola, leo Agosti 7 amepokea Tuzo ya Kocha Bora wa mwaka kwa niaba ya Sven Vandenbroeck ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba.


Sven ametwaa tuzo hiyo akiwapoteza makocha wenzake ikiwa ni pamoja na Hitimana Thiery wa Namungo na Arstica Cioaba wa Azam FC.

SOMA NA HII  CHEKI KIKOSI CHA MUUNGANIKO WA YANGA V SIMBA 2020/21