LEO Biashara United, Septemba 20 inamenyana na Simba mchezo wake wa kwanza ugenini kwa msimu wa 2020/21 baada ya kucheza mechi mbili ikiwa nyumbani, Uwanja wa Karume.
Hiki hapa kikosi cha kwanza kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 Usiku.
Daniel Mgore 18
Ally Kombo 6
Ramadhan Chombo 8
Deogratius Judika 15
Tariq Abdallah 23
Kelvin Friday 19
Mpapi Salum 25
Mustha Khamis 30
Lenny Vedastus 14
Abdulmajid Mangaro 2
Omary Nassoro 22