Simba 2-0 Biashara United
Imeongezwa dakika 1
Dakika 45 zimekamilika
Dakika ya 36 Bwalya anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 26 Chama Gooooal la pili kwa Simba
Dakika ya 20 Luis anapiga faulo inaokolewa na Mgore
Dakika ya 19 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 16, Ndemla anaingia kuchukua nafasi ya Fraga ambaye ameumia
Dakika ya 9, Chama anafunga Gooool la kwanza
Uwanja wa Mkapa
Uwanja wa Mkapa kwa sasa mchezo unaoendelea ni kati ya Simba na Biashara United kipindi cha kwanza.
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia burudani