Home Uncategorized RATIBA YA MZUNGUKO WA TANO LIGI KUU TANZANIA BARA IPO HIVI

RATIBA YA MZUNGUKO WA TANO LIGI KUU TANZANIA BARA IPO HIVI

 


BAADA ya mzunguko wa nne kukamilika kwa mechi tisa kuchezwa viwanja tofauti sasa ni mwendo wa kuikimbizia raundi ya tano.


Hii hapa ratiba ya raundi ya tano ipo namna hii kwa msimu wa 2020/21:-


Oktoba 2

Dodoma Jiji v Ruvu Shooting, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.


Oktoba 3


Yanga v Coastal Union, Uwanja wa Mkapa.


Mbeya City v Prisons, Uwanja wa Sokoine.

Namungo v Mwadui, Uwanja wa Majaliwa.

Gwambina v Ihefu.

Oktoba 4


Azam FC V Kagera Sugar, Uwanja wa Azam Complex.

Biashara United v Mtibwa Sugar.

JKT Tanzania v Simba, Uwanja wa Jamhuri Dodoma.


Oktoba 5

KMC v Polisi Tanzania, Uwanja wa Uhuru.

SOMA NA HII  DUH! BARCELONA WAMFUNGIA VIOO NEYMAR JUMLAJUMLA