Home Uncategorized WATANO KUTOKA AZAM FC WAITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

WATANO KUTOKA AZAM FC WAITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

179
0


NYOTA watano kutoka kikosi cha Azam FC wamechaguliwa kuunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania chenye jumla ya wachezaji 25.


Stars inatarajiwa kuingia kambini Oktoba 5 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Burundi.


Hawa hapa nyota wa Azam FC:-

 David Kisu

Bryson David 

Abdalah Sebo

Idd Nado

Salum Abubakar