Home Uncategorized BEKI IHEFU FC NJE YA UWANJA WIKI NNE

BEKI IHEFU FC NJE YA UWANJA WIKI NNE

 


BEKI wa Klabu ya Ihefu FC, Omary Kindamba atakuwa nje kwa muda wa  wiki tatu hadi nne kufuatia  nyota huyo kupata majeraha ya mbavu baada ya kuanguka vibaya alipokuwa akiitetea timu yake dhidi ya Biashara, Mara.


Mchezo huo uliochezwa Oktoba 14, Uwanja wa Karume Ihefu ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0.

SOMA NA HII  Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa