Home Uncategorized AMRI SAID WA MBEYA CITY AFUTWA KAZI

AMRI SAID WA MBEYA CITY AFUTWA KAZI

 


AMRI Said, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City amefutwa kazi Oktoba 20 kutokana na timu kutokuwa na mwendo mzuri msimu wa 2020/21.


Kwa sasa timu itakuwa chini ya Kocha msaidizi Mathias Wandiba.


Mchezo wake wa mwisho ilikuwa jana Oktoba kukaa Kwenye benchi na timu ya Mbeya City ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Mwadui FC.

SOMA NA HII  KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC NGAO YA JAMII