Home Uncategorized DUBE WA AZAM APOKEA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBA

DUBE WA AZAM APOKEA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBA

 

Mshambuliaji mpya wa Azam FC anaetokea nchini Zimbabwe Prince Dube, akipokea tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) mwezi Septemba.

Mbali na tuzo hiyo kutoka kwa wadhamini wakuu Vodacom Tanzania pia alikabidhiwa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni Moja.

SOMA NA HII  SINGIDA UNITED YASEPA NA POINTI TATU BAADA YA KUPITISHA DAKIKA 1,080